Barnaba asaini vichwa vinne ‘High-Table’

Staa wa muziki Barnaba Classic, ameweka wazi kikosi cha wasanii ambao kwa sasa tayari wamekwisha mwaga wino kufanya kazi chini ya studio anayomiliki ya Hightable Sound ambayo imekwishaanza kuonesha matunda yake katika tasnia ya muziki Tanzania.

u_6

Barnaba ameweka wazi kuwa wasanii hao wanaofanya kazi chini yake kwa sasa ni pamoja na rapa Ice Boy, Asia, na vilevile msanii kutoka Njombe ambaye anasimama kwa jina la Mula Flavour,

Chanzo: eatv.tv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s