Collabo ya Barnaba na Jose chameleone imeiva

Nyota wa muziki Barnaba Classic aliyepata ugeni mzito wa staa wa muziki Jose Chameleone katika studio yake ya High Table siku ya jana, ameeleza mashabiki wake kuwa ziara hiyo imefungua milango, ikiwa ni matayarisho ya projectz nzito na Chameleone.

barnaba-chameleone1

Barnaba ameeleza kuwa, amekuwa na wakati wa manufaa sana na msanii huyo wa kimataifa, sambamba na kufanya kazi pamoja ambayo inakwenda kwa jina Nakutunza itakayotoka mwezi ujao.

12106159_149787368708967_1771345913_n

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s