Diamond kutumbuiza kwenye Tamasha la ‘BET Experience Afrika’ pamoja na mastaa wengine wakubwa Duniani

Staa wa Nana, Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya wasanii watako perform kwenye Tamasha la ‘BET Experience Africa’ December 12 Johannesburg, Afrika kusini.

12120241_1496194660677098_1210464566_n

Diamond ataungana na Tamar Braxton, Flavour, Maxwell na wasanii wengine wakubwa wa ndani na nje ya Afrika, waandaji wa Tamasha hilo walitangaza kuwa mbali ya wasanii wa ndani ya Afrika, Mastaa wakubwa kutoka Marekani watadondoka Afrika ikiwemo washindi wa Tuzo za Grammy.

12145272_547898705359684_778226531_n

Orodha ya wasanii watakaoperfom kwenye Tamasha hilo inaendelea kutangazwa.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s