Harmonize wa wasafi asema video ya Aiyola imekamilika,atatoa kipande na mashabiki watachagua video itoke lini.

Msanii wa Diamond Platnumz Harmonize ambaye mwezi wa nane mwisho alitoa wimbo wake Aiyola amethibitisha kuwa ameshafanya video.

harmonize
Harmonize amesema ” Namshukuru Mungu kichupa kimekamilika, nimeongea na director na amenitumia video ,vile vyote nilivyotaka vimewekwa kwenye video na ninamatumaini Watanzania na Africa kwa ujumla wataipenda, Director anafanya kazi haraka haraka sana, Kila mtu nikimuonyesha anaridhika nayo, tumeshoot na magari na farasi na majumba mazuri mazuri “.

Harmonize atatoa kipande kifupi cha video na atauliza watu video itoke lini.

Chanzo: Clouds

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s