Wimbo mpya wa Dully Sykes umeandikwa na Yamoto Band,kafanya collabo na mastaa hawa watatu.

Dully Sykes ametoa maelezo nakusema alitaka kitu tofauti na kwamba vijana wanafanya vizuri.

Dully-Sykes

“Wimbo unaitwa tuachia na wimbo umeandikwa na Yamoto Band, mpaka sehemu yangu wameandika wao, nimefanya hivyo ilinipate kitu tofauti, hivi ni itu vya kileo,  vijana wanafanya vizuri so kwanini nisifanye nao kazi, nikama Micheal Jackson alivyofanya kazi na Akon ”

Ukiacha Yamoto Band, Dully Sykes pia amefanya kazi na Vaness Mdee, Christian Bella na Mzee Yusuf.

Chanzo: sammisago.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s