UEFA kuishtaki klabu ya Dynamo Kiev

Shirikisho la Soka barani Ulaya Uefa, limefungua kesi ya kinidhamu dhidi ya klabu ya Dynamo Kiev kutokana na vurugu zilizofanywa na mashabiki wake na mambo ya kibaguzi katika mchezo wa Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea. Katika taarifa yake Uefa imesema itaanza kusikiliza kesi hiyo Octoba 27 mwaka huu.

151021042948_chelsea_dynamo_kiev_512x288_epa_nocredit

Hiyo sio mara ya kwanza kwa mashabiki wa timu hiyo kuingia matatani kwani katika msimu uliopita Dynamo walitozwa faini ya kufungiwa upande mmoja wa uwanja kwa makosa mawili mojawapo likiwa vurugu na lingine ubaguzi katika mchezo wa michuano ya Europa League.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s