Picha,Davido akutana na shabiki aliyechora sura yake kwenye kifua chake.

Mwimbaji kutoka Nigeria Davido amemkaribisha shabiki wake kwenye familia ya HKN baada ya kijana huyu kuchora tattoo yenye sura ya Davido kwenye kifua chake.

shabiki

Awali Davido alivyona picha hii mtandaoni aliomba watu wamtafute kijana huyu.

Davido pia amempa zawadi ya cheni mpya ya HKN.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s