Mpenzi wa zamani wa Chris Brown, Karrueche Tran kutua Nigeria mwezi ujao

Mpenzi wa zamani wa Chris Brown na mwanamitindo, Karrueche amepanga kutembelea Nigeria mwezi ujao .

karrueche

Kupitia Mtandao wa Instagram, mwanamitindo huyo ametangaza kuwa atahost Pool Party itakayofanyika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.

Abuja, Nigeria! I’ll be seeing you soon :) Follow @playnetworknigeria for invites and @georgeokoro! Pool Party turn up! #Africa.” Alithibitisha ujio wake

Karrueche alipata umaarufu mkubwa baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Staa wa muziki wa Marekani, Chris Brown baada ya kuachana na Rihanna, hata hivyo wameachana baada ya taarifa kupata mtoto wa kike na mwanamke mwingine.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s