Profesa Jay ashinda kiti cha ubunge TZ

Msanii wa Bongo Joseph Haule maarufu kwa jina ‘Profesa Jay’ ndiye msanii wa hivi karibuni kuwahi kushinda kiti cha ubunge nchini Tanzania.

151027161856_profesa_j_512x288_bbc_nocredit

Msanii huyo wa muziki wa Rap alitangazwa mshindi wa kiti cha eneo bunge la Mikumi katika uchaguzi huo baada ya kupata kura 32,259.

Profesa Jay ambaye alikuwa akiwania kiti hicho kwa tiketi ya chama cha CHADEMA alimshinda mpinzani wake wa Chama cha mapinduzi CCM, Jonas Nkya ambaye alijipatika kura 30,425.

Msanii huyo ni wa pili sasa kuchaguliwa baada ya meneja wa bendi ya Yamoto Said Fella kuchaguliwa kama diwani wa wadi ya Kilungule jimbo la Mbagala.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s