Baada ya Yote, Faiza Kathibitisha Bado Anampenda ‘Sugu’

Aliyekuwa mpenzi  wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake  lakini bado anampenda na kumthamini.

SUGU0-

Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika

“Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae  na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – oh yes nampenda na nina mpenzi tunapenda ! So what?????” aliandika.

MillardAyo.com

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s