Barnaba aachia kionjo cha wimbo wake na Jose Chameleone ‘Nakutunza’ unatoka Alhamisi ijayo

Barnaba ameachia Kionjo cha wimbo mpya aliomshirikisha mkongwe wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone, wimbo huo uliopewa jina la ‘Nakutunza’ utatoka Alhamisi ya wiki ijayo [Nov. 5]

Barnaba ametangaza tarehe hiyo mpya kuachia wimbo wake kupitia Instagram, wimbo huo ulikua umepangwa utoke leo

“Heloooo #Tanzania hello. Wapendwa na mashabiki Zangu !ambao Wote Najua Mlikuwa Mkisubiri Kwa Hamu wimbo wa #Nakutunza !!/ Sasa kutokana na Kaz Ya Uchaguzi Mkuu wa Jamuhuri Ya muungano Wa Tanzania Nisingeweza Kutoa wimbo Leo mana Bado watu walikuwa wa kimsubiri kiongozi Ambaye Ataliongoza Taifa na maslai Ya watanzania kwa Ujumla Ivyo Bass napenda Kusema Tunawaomba Radhi Na Tumesogeza Kutoka Leo 30/October Mbaka Tarehe 5/-November Itakuwa Alhamisi’ na Kutokana na mambo Ya kitaifa Tumeheshimu Uchaguzi!!.. na Kwa heshima na Busara Tumeamua mbaka kiongozi wetu Atakapoapishwa na kupata Baraka ya Nchi Nasi tutaendelea sasa kwaiyo Nomba Sana kwa Watu wa #midia mbali … Na hata mashabiki zetu wa sehemu mbali mbali mana Tumekatili Mioyo Yenu ….!! but Tukutane 5/-November lakini Leo nitaweka Baadae Sekunde 15 Za Chorus Au Kiitikio ambacho Barnaba ameimba na @jchameleone na Sehemu ambayo Barnaba ameimba #kiganda Kidogo Maneno Ya wimbo mbaka Apo Alhamisi Mwambie mwenzako au #Tag mshikaji au Repost kwa Kuonesha love na upendo Ili Tusogeze muziki wetu mbali Asanteni Sana” Ameadnika Barnaba

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s