Picha: Birthday Party ya Wema Sepetu

Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.

WEMA222

Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake  jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.

Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.

WEMA_SEPETUU22 WEMA9 WEMA32 WEMA871 WEMA876 WEMA8881 WEMA76522 WEMA87621

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s