Rapa aliyekuwa mkata vichwa wa ISIS afariki nchini Syria.

Rapa Mjerumani aliyekuwa mfuasi wa kundi la kigaidi la ISIS Deso Dogg ameuwawa nchini Syria 16 October 2015 baada ya eneo alilokuwa kushambuliwa na ndege za kivita za Marekani.

dogg-deso-52797355e07f9

Deso ambaye jina lake la kivita lilikuwa Abu Talha Al-Almani aliwahi kuwa karibu na rapa DMX na hata kufanya nae ziara ya muziki.

Awali Deso aliitwa Denis Cuspert na ni mzaliwa wa Ujerumani. Kijana huyu aliacha muziki mwaka 2012.

Mnamo November 2014 shirika la habari la AFP lilitoa ripoti kuwa Cuspert ndio mtu aliyekuwa ameshika kichwa cha mtu aliyeuwawa na ISIS kwa kupinga kundi hilo na kwamba Cuspert alikuwa miongoni mwa wakata vichwa wa ISIS.

Wakati wa uhai wake Deso alikuwa mtafutaji wa raia na wanajeshi wa kijerumani na kuwashawishi wa jiunge na ISIS.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s