Young Thug kuungana na Diamond Platnumz kutumbuiza kwenye Tamasha la ‘BET Experience Africa’

Rapper wa Marekani, Young Thug ameongezwa kwenye orodha ndefu ya wasanii wa watakaoperfom kwenye Tamasha la ‘BET Experience Africa’ ambalo litafanyika December 12 Johannesburg, Afrika kusini.

11377984_1135802703116458_1422883814_n

Diamond Platnumz ni msanii pekee wa Afrika Mashariki aliyetwaja kutumbuiza kwenye Tamasha hilo hadi sasa, Wasanii wengine watakao tumbuiza kwenye Tamasha hilo ni pamoja na Tamar Braxton, Flavour, Maxwell na Aka.

Orodha ya wasanii watakaoperfom itaendelea kutangazwa na waandaji wa Tamasha hilo litakalofanyika kwa mara ya kwanza Afrika mwaka huu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s