Ben Pol: Wasanii tufanye mazoezi

Star wa muziki Ben Pol ametoa ushauri kwa wasanii wenzake kujituma zaidi katika kufanya mazoezi ya viungo na vilevile sauti katika kuboresha maonesho wanayofanya na kuendana na matakwa ya mashabiki wao.

zbenpol

Kutokana na uzoefu ambao star huyo anao, mazoezi ya viungo vilevile sauti ni kati ya vitu vya muhimu kabisa ambavyo msanii hatakiwi kubweteka na kuacha kuvifanyia kazi

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s