New Video: Walahi (Official Music Video) – Runtown

Mwimbaji kutoka Nigeria Runtown ametoa video mpya ya wimbo wake wa ‘Walahi’. Wimbo ulitayarishwa na Maleekberry na video imefanywa Africa Kusini na muongozaji wa video Sesan aka Ses Baba.

Album mpya na yakwanza ya Runtown iliyopewa jina ‘Ghetto University’ inatoka November 22 2015.

Mpaka sasa imethibitishwa kuwa album inawasanii kama Dj Khaled, Davido, Wizkid, Burna Boy, Phyno, Barbapappa na M.I .

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s