Picha: Diamond amzawadia dada yake Queen darleen gari mpya kama zawadi ya Birthday

Diamond Platnumz amemzawadia gari jipya dada yake ,Queen darleen kwenye siku yake ya kuzaliwa.

gari1

Kupitia kwenye Post aliyoiweka Instagram, Diamond ameandika “Happy Birthday my luvly and beutiful sisy.. let dat small gift be your bornday memory from your young brother… “

Hii sio mara ya kwanza Diamond anatoa zawadi ya gari, aliwahi kumzawadia Mama yake ‘Toyota harrier’ kwenye siku yake ya kuzaliwa mwaka jana pia alimzawadia mpenzi wake wa zamani, Wema sepetu gari aina ya murano kwenye birthday yake mwaka jana.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s