Polisi wachukua mali za Lil wayne baada ya kushindwa kulipa deni la kukodi ndege

Polisi wamevamia nyumba ya rapper Lil wayne siku ya jana [Nov. 3] huko Miami na kuchukua baadhi ya mali kama fidia ya deni alilokuwa anadaiwa na kampuni moja ya ndege nchini humo baada ya kushindwa kulipa deni la ndege binafsi alikodi ya kampuni hiyo.

Polisi  walivamia nyumba ya rapper huyo kuta New Orleans baada ya kupata ruhusa ya mahakama, Lil wayne ambaye hakuwepo nyumbani hapo alishitakiwa na kampuni ya Signature group iliyotaka alipe deni lake la dolla million 2.

Pia kampuni hiyo inataka ilipwe dolla 200,000 kama gharama za mwanasheria wa kesi hiyo iliyofunguliwa miaka miwili iliyopita

Aidha lil wayne alitweet haya kutokana na tukio hilo.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s