Fuse ODG ashinda tuzo ya MOBO Iliyowaniwa na Wizkid,Davido,Patoranking na Yemi Alade.

Fuse ODG ashinda tuzo ya MOBO Iliyowaniwa na Wizkid, Davido, Patoranking na Yemi Alade

Fuse ODG Ameshinda tuzo ya Best African Artist kwenye tuzo za MOBO zinazofanyika Uingereza kila Mwaka.

Mwaka Huu tuzo hii ilikuwa inawaniwa na Wizkid, Davido, Patoranking na Yemi Alade. Fuse amekuwa akishinda tuzo hii kwa miaka mitatu mfululizo.

MOBOAwards96

Best African Artist

Fuse ODG (WINNER)
Davido
Wizkid
Patoranking
Moelogo
Yemi Alade
Aka
Mista Silva
Shatta Wale
Silvastone

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s