Kwenye show ya Wizkid niliitwa underground, imenipa changamoto sana – Fid Q

Fareed kuband aka  Fid Q amesema kitendo cha ‘engineer’ wa muziki kutoka Afrika Kusini kumuita “Underground” wakati wa wa soundcheck ya show ya Wizki kimempa changamoto za kufanya jitihada zaidi ili aweze kufika hatua ya kujulikana kimataifa.

Fid- Q

“Mimi na bendi yangu tulifika pale mapema kwa ajili ya masuala ya Sound Check, kwanza ilitangulia bendi yangu wakawa wanazungushwa sana kufanya sound check, ikabidi niende mwenyewe, jamaa akaniambia mtafanya sound check, mi ikabidi nimfuate jamaa nikamwambia vipi mbona sisi tumefika mapema lakini hatufanyi sound check, akaniambia take it easy man, those guys with big names they deserve to do sound chek alafu nyinyi ma underground mtafuatia” Fid Q ameiambia Planet Bongo

Aliongeza kuwa japo alicheka lakini kitendo icho kimempa changamoto kubwa ya kuhakikisha anajulikana kimataifa “Basi mi na bendi yangu tukabaki tunacheka tukaipenda, bendi yangu ikaniuliza unajisikiaje kuhusiana na hicho kitu!? nikasema jamaa kanifurahisha kwa sababu ye anajua watu ambao anawaona katika TV za kimataifa, wengine sisi hatuonekani kwa hiyo kanikumbusha mi bado nina localy, kwa hiyo nina kazi kubwa ya kujipromote kimataifa, kwa hiyo nimechukulia kauli yake kama challenge na jamaa hajakosea” Alisema Fid Q.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s