Rapa Eminem awekeza kwenye mtandao wa Rap Genius.

Rapa Eminem amekuwa miongoni mwa wamiliki wa mtandao mkubwa wa mashairi wa rapa Genius.

eminem-wallpaper-10

Mtandao huu hutumika kutoa mashairi ya wasanii wa muziki na kutoa maana tofauti za mashairi haya. Pia kwenye mtandao huu mashabiki wa mashairi makali ya wasanii hutoa maana zao na kitu wanachoamini msanii alikuwa anaongelea ili mashabiki wengine wapate kuelewa.

Kupitia uwekezaji huu Eminem atapata nafasi ya kuelezea baadhi ya mashairi yake na ya wasanii wengine.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s