Jaguar awapatia ‘miguu’ watoto

Star wa muziki Jaguar kutoka nchini Kenya, Dj Creme na Martin Kimathi kupitia taasisi yake ya Jaguar Youth Empowerment, wameweza kufikisha msaada wa viatu kwa zaidi ya watoto 1,000.

crme-6

Msaada huo ni pamoja na kugawa chakula kwa familia zaidi ya 60 zinazoishi katika mazingira magumu huko Kibera.

Kitendo hiki kinadhihirisha maneno ya makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto kuwa msanii huyo ameiletea sifa nchi ya Kenya na kuonesha kuwa nchi hiyo ni nchi ya fursa na vipaji, msaada aliotoa ukiwa na lengo la kurahisishia watoto hawa ugumu na changamoto walizonazo kuelekea kutimiza ndoto zao.

Kwa upande wa sanaa yake ya muziki Star huyo kwa sasa anafanya video ya rekodi inayofahamika kama ‘Take It Slow’ ambayo inatarajiwa kukamilika na kutoka hivi karibuni.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s