Tp Mazembe mabingwa wa Afrika

Klabu ya soka ya TP Mazembe, ya Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo imeutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika.

12188929_1012848542070772_9202749636307764374_n

Tp Mazembe wakicheza kwao katika uwanja wa Stade du TP Mazembe Lubumbashi, waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi Union Sportive Medina d’Alger.

12189934_1012849008737392_1713969168765662244_n

Mshambuliaji Mbwana Samatta ndiye aliyeanza kuifungia timu yake bao la kwanza kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 75 ya mchezo, kisha Roger Assale akahitimisha kazi kwa baoa la pili katika dakia ya 90.

12190964_1012849015404058_7107940991818814484_n

Mazembe imenyakua Ubingwa huu wa Afrika, ikiwa ni mara yao ya 5, kwa Jumla ya Mabao 4-1 baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mechezo wa fainali ya kwanza iliyoafanyika wiki iliyopita.

12208254_1012848502070776_9069038539897825029_n

Bao la Samatta katika mchezo huo, limemfanya afikishe Bao 7 Msimu huu na kuibuka ndie Mfungaji Bora wa Michuano hii.

12208528_1012848492070777_1518731689192141121_n

Baada ya kutwaa Taji hili, TP Mazembe wamezoa Donge la Dola Milioni 1.5 na pia wataiwakilisha Afrika kwenye Mashindano ya FIFA ya Klabu Bingwa Duniani huko Japan Mwezi Desemba.

12227139_1012848512070775_1647587822180442232_n home-1447004527_08nov15-tpm-usma_6663_1447004527_1447004527

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s