Cassper Nyovest yupo kwenye mapumziko Tanzania

Gazeti la Sunday World la Africa kusini limeripoti kuwa rapa mkali zaidi Africa mwaka huu Cassper Nyovest amekata kufanya show kwenye tamasha la Moftown Height sababu hasimu wake AkA Atafanya show kwenye tamasha hilo pia.

11910511_1673877689492657_1458815662_n

Cassper na AKA wamekuwa na beef na muda sasa na wamebadilishana maneno makali kupitia nyimbo za beef zao.

Cassper kwa sasa yupo kwenye mapumziko kwenye visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania.

11910020_746273238812394_1084168142_n 11906129_1022340867824822_887065448_n 11326158_1505815453049275_27835692_n 11253759_564053000413424_2021548564_n 10946425_938503389553889_1115876054_n

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s