Alicia atengeneza bilioni 8 za msaada Afrika/India

Mwanamuziki Alicia Keys amefanikiwa kuchangisha dola milioni 3.8 – zaidi ya shilingi bilioni 8 za Tanzania katika tukio la hisani la burudani la Keep The Child Alive Black Ball lenye lengo kuokoa watoto dhidi ya janga la ugonjwa wa UKIMWI.

Untitled_3

Alicia kwa njia ya mtandao ameshukuru wote waliowezesha kufanikiwa kwa tukio hilo mwishoni mwa wiki, likishuhudia mahudhurio kutoka kwa mastaa wakubwa akiwepo Chris Rock aliyesherehesha, Lenny Kravitz, Wale kati ya wengine, akiwepo pia binti wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Angel Kagame.

Fedha ambazo zimepatikana katika shughuli hiyo zitatumika katika shughuli mbalimbali ambazo taasisi za Alicia zinashirikiana nazo kutoka mashirika yanayokabiliana na athari za gonjwa la UKIMWI kwa namna mbalimbali hususan kwa watoto katika bara la India na Afrika.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s