Dude: Tunaigiza Hadi Nyumbani

Nyota wa filamu na kipindi cha maigizo ya kitapeli ya ‘Bongo Dar es salaam’, Kulwa Kikumba ‘Dude’amehoji tabia ya baadhi ya wasanii kuigiza hadi kwenye maisha yao halisi.

Dude9871

Dude alisema asilimia kubwa ya wasanii wamekuwa ni waongo kuanzia  katika filamu hadi katika maisha yao halisi, hivyokusababisha mashabikikujua kuwa wana maisha bora jambo ambalo si la kweli.

Muigizaji huyo amesema  ni vyema msanii akaishi maisha halisi  kuliko kuigiza maisha ambayo hana,kama ambayowamekuwa wakifanya wasanii wengi na akasisistiza  kuwa sanaaa hiyo imevamiwa.

“Sijui tasnia yetu tunaipeleka wapi  kutokana na kuvamiwa na watu ambao walikosa kazi za kufanya na kuamua kuingia huku kwa nia ya kupata umaarufu na kufanya mambo mengine” alisema.

Chanzo: Lete Raha

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s