Maneno ya Masanja Baada ya Kushindwa Kura za Maoni Ludewa..

List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo.
 masanja788
Masanja alithibitisha kwamba kazi ya Ubunge anaiweza   “Orijino Komedi ipo, mimi sio member wa kundi, mimi ni mwanzilishi.. siwezi kuacha Komedi, mbona nilikuwa Mchungaji na sikuacha Komedi.. nitakuwa Mbunge, Komedi na Church…” Hii ni siku chache zilizopita kwenye exclusive interview na millardayo.com pamoja na  Amplifaya.
Kura hazikutosha kwake, maana yake ni kwamba kwenye Kura za maoni upande wa makada wa CCM Ludewa, Masanja hajafanikiwa kupita… lakini aliahidi pia hata kama akishindwa bado ataendela kumpa support yule atakaepita.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter, Masanja ameandika haya kukubali matokeo  “Ludewa ….. Dah! Najipanga nitarudi tena. Sasa ni muda wa kumpigia kampeni aliyepita ili akatuwakilishe Bungeni. HapaKaziTu”  @mkandamizaji
Kwenye ukurasa wake instagram ameandika
Jamani uchaguzi wa kura za maoni umeisha.
nimepata kura jumla kwa zoooote ukihesabu nimebeba jumla kabisa kabisa kura ukijulisha vizuri kabisaaa utulie nimepata kura hiziiiiì 19
Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s