Wastara: Penzi Tamu Nililipata Kwa Sajuki Tu!

NASEMA ukweli kabisa! Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma ameweka wazi kuwa, tangu azaliwe, penzi pekee alilowahi kulifurahia ni la aliyekuwa mumewe na msanii mwenzake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’.

WASTARASAJUKI

Akichonga na Amani juzi, Wastara alifunguka kuwa, Sajuki ndiye mtu pekee aliyekuwa akimwelewa na kumpa mapenzi ya dhati.

Aliongeza kuwa, Sajuki ndiye mwanaume aliyekuwa akimlinda siku zote na kumtetea katika jambo ambalo alikuwa akionewa.

“Jamani penzi lililowahi kunipa raha na kunifanya nifurahie maisha ni la Sajuki tu na si mwanaume mwingine yeyote. Hicho ndicho kitu kinachonifanya nimkumbuke sana kila wakati,” alisema Wastara.

Chanzo:GPL

Picha:Enzi hizo, Wastara Juma akiwa na aliyekuwa mumewe na msanii mwenzake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s