Riyama Kuwasaka Wanaomtumia

MSANII wa filamu Bongo Riyama Ally amesema baadhi ya wasanii wanaomhitaji na kucheza nao filamu, huuza baadhi ya vipande vya filamu anazocheza bila idhini yake, jambo alilodai hakubali kwani atawasaka na kuwashikisha adabu.

riyama2211

Akizungumza na mwandishi wetu, alisema baadhi ya watu wamekuwa wakitumia kava lenye picha yake kuuza filamu ambazo anakuwa hajacheza, isipokuwa zimechomekwa vipande alivyoigiza bila kukubaliana.

“Unakuta msanii ananifata nicheze filamu yake vipande sita, mwisho wa siku anatumia sini moja, halafu zingine anaziuza, wote wanauzia kava bila mimi kunufaika chochote, mfano kuna filamu inaitwa Nyota, Kigoma cha mtaa zote zijashiriki kabisa, nimeshaongea na Cosota wanisaidie katika hili, wote wanaofanya hivi nitawachukulia hatua kali za kisheria,”alisema.

Chanzo:GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s