Kiungo wa Chelsea ya Uingereza Cesc Fabregas ameelezea hasira kutokana na matokeo duni ya klabu ya Chelsea msimu huu.

141228162820_jose_mourinho__640x360_ap_nocredit

”Kwa hakika sifahamu ninikimetusibu msimu huu”

Mabingwa hao watetezi wameshindwa mechi 7 kati ya 12 walizocheza msimu hu.

The Blues’ wana alama tatu tu zaidi ya timu zinazotishiwa kushushwa daraja.

‘Sijui nini kinaendelea ,,,tumekuwa tukicheza vyema ila hatuna bahati ya kufunga bao’ alisema kiungo huyo wa kati.

‘Kwa wakati mwengine,huwa ukidana mpira na uguse kidogo unapaa na kuingia ,lakini hivi sasa hata ukifuma mkwaju unakwenda nje’ Fabregas aliiambia Gazeti la kihispania Marca.

141223090550_jose_mourinho_640x360_epa_nocredit

‘Tunahitaji kuanza kushinda mechi zetu kwa udi na uvumba la sivyo haitukuwa vyema’

Kiungo hicho cha kati cha timu ya Uhispania ni mmoja kati ya wale wanaolaumiwa na kocha Jose Mourinho kukuzembea msimu huu.

Majuma mawili yaliyopita Fabregas alikanusha kuwa wachezaji wanafanya mgomo baridi dhidi ya kocha wa Chelsea Mourinho.

Fabregas alisema kuwa anafurahia sana uhusiano wake na meneja huyo mbishi mbali na muda wake akiwa London.

Chanzo:

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s