Intro ya producer imeupa kiki wimbo wangu Nigeria – Peter Msechu

Peter Msechu amesema intro ya Producer wa wimbo wake mpya  MALAVA umeipa kiki wimbo huo Nigeria kwasababu wanafikilia imetengenezwa na producer shizzy ambaye huwa anatengeneza nyimbo za Davido .

Msechu..

“Unajua nilipoutuma kwenye baadhi ya media Nigeria wengi walishtuka, unajua pale nilipomtaja producer Teaz watu wakajua ni Shizzy yule producer wa Davido, kwa hiyo imekuwa nzuri sana naikubali mwenyewe, na imepokelewa poa” Peter Msechu ameiambia Planet Bongo.

Peter Msechu amesema kuwa alikuwa na wakati mgumu wa kuhakikisha wimbo atakaoutoa unafanya vizuri zaidi ya uke wa mwanzo ‘Nyota’, Msechu amesema video ya wimbo huoinshootiwa wiki ijayo .

“Wiki ijayo nitaenda kufanya video na nimeshailipia kila kitu, nikamwambia producer tusidaiane.. niko vizuri baba watu wasubiri tu” Alisema Peter Msechu

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s