Kajala Apata Pigo

Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja hivi karibuni alipata pigo zito baada ya kufiwa na bibi yake (mzaa mama) aliyekuwa akiuugua kwa muda mrefu huko mkoani Songea.

KAJALA345

Akizungumza na Ijumaa Wikienda akiwa msibani, Kajala alisema amempoteza mtu muhimu katika maisha yake kwani bibi yake huyo alikuwa akimpenda, kumlea na kumshauri mambo muhimu kwenye maisha.
Kajala alifunguka kuwa alipopata taarifa za msiba wa bibi yake alihisi kuchangayikiwa na maumivu yaliyosababisha mapigo ya moyo kupanda (presha).

KAJALA876

“Siwezi kueleza ni jinsi gani nilikuwa nikimpenda bibi yangu, alikuwa ni msaada mkubwa sana kwangu.
Kila nilipotatizika na jambo lolote sikusita kumfuata na kumshirikisha, kiukweli ni pigo kubwa sana kwangu,” alisema Kajala.

Chanzo:GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s