Sijawahi Kuigiza Filamu za Kikubwa- Neema 20%

MWIGIZAJI wa kike mwenye hisia katika filamu za majonzi Asfa Omary ‘Neema wa 20%’ amefunguka kwa kusema kuwa toka aanze kuigiza alikuwa hajawahi kuigiza filamu akivaa uhusika kama mtu mzima bali ni mtoto tu, lakini kwa mara ya kwanza ameigiza kama mama mjamzito.

asfaa-twenty1

“Nimeigiza filamu nyingi sana lakini hata siku moja nilikuwasijawahi kabisa kuigiza filamu za kiutu uzima nikiwa kama mama mjamzito au mama wa familia, lakini kwa mara ya kwanza katika filamu ya Huba nimeigiza hivyo ilikuwa kazi kweli,”anasema Neema.

Msanii huyo alijipatia jina kupitia filamu ya Furaha iko wapi ya twenty pacent anasema kuwa ilikuwa kazi ngumu sana kwake kwani hajawahi kuwa ni mwanafamilia na kuishi maisha ya ndoa zaidi ya utafiti, na kitu kilichokuwa kinamtatiza ni hofu ya kupoteza uhalisia lakini anashukru amefanikiwa.

Chanzo: FC

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s