Ujio wa Angelina Jolie Kenya

Ujio wa nyota wa filamu wa kimataifa, Angelina Jolie nchini Kenya, huenda ukawa umekaribia tayari kabisa kwa kufanya kazi ya kuongoza filamu ya ‘Africa’ itakayohusu maisha ya mdau mkubwa wa uhifadhi wa maliasili, Richard Leakey.

r_6

Ugeni huu mzito wa Angelina huko Kenya umethibitika baada ya taarifa kuwa yeye ndiye atakayekuwa muongozaji wa filamu yenyewe ambayo picha zake zitapigwa huko Kenya, kwa mujibu wa maelezo ya Richard Leakey mwenyewe ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 70.

Filamu hiyo pia itakuwa na mchango mkubwa katika kampeni za kupambana na majangili na kurejesha kasi ya utalii ambayo ilitikiswa na mashambulizi ya kigaidi kwa muda.

Richard_Leakey__L__3504439b

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s