Dude Alizwa Kila Kitu

Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.

DUDE2

Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.

“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa kichapo.

Wamenirudisha nyuma sana. Yaani wamelisafisha kabisa gari langu kuanzia control box, redio, side mirror, betri ya gari, taa zote, spea tairi, jeki na vitu vingine,” alisema Dude akijiandaa kufungua jalada la kesi la kuwasaka wahusika.

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s