Picha: Mayunga akamilisha Collabo yake na Akon, amtumia mrembo aliyewahi kutumika kwenye video ya Chris brown

Mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi amekamilisha Collabo yake na Boss wa konvict Music, Akon huko Hollywood Marekani.

IMG-20151123-WA0017

“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi  nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon afurahi na namshukuru Mungu alifurahi sana”

Video ya wimbo huo ilishootiwa siku hiyo hiyo baada tu ya kumaliza kurekodi.

Mayunga amesema kuwa mrembo aliyetumika kwenye video hiyo ni model mkubwa marekani ambaye pia amewahi kutumika kwenye video ya Chris Brown “Huyo video queen ni mkubwa sana kwani amewahi kufanya video ya Chris Brown kama Main character” Amesema Mayunga.

IMG-20151123-WA00131

IMG-20151123-WA0012

IMG-20151123-WA0010

IMG-20151123-WA0009

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s