Said Fella sasa kusaidia wazanzibar

Diwani wa kata ya Kilungule Said Fella aka Mkubwa Fella hivi sasa anaendelea kutoa sapoti yake kwa kuendelea kufufua vipaji vya wasanii wa muziki ambapo ameelekeza nguvu zake kisiwani Zanzibar kuinua viapaji hivyo.

hh_10

Fella ambaye pia ni meneja wa kituo cha Mkubwa na Wanawe ameiambia enewz kuwa amepata mapokezi mazuri kutoka kwa wadau na mashabiki mbalimbali kwa kuinua vipaji vya chipukizi hao ambapo hivi sasa tayari ameanza kufanya kazi na wasanii nyota Berry Black na mwanadada Baby J kutoka Zanzibar.

Aidha, Berry Black ambaye alikuwa kimya kwa muda akijiandaaa kutoa kazi yake mpya ameiambia enewz kuwa ametoa wimbo wake mpya uliobatizwa jina ‘Mtuache’ ambao muda si mrefu video ya kazi hiyo itawafikia mashabiki na wadau wake.

f_13

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s