Shilole aupiga bei mjengo wake wa Kimara

Msanii wa Bongo Fleva na Muigizaji, Shilole ameupiga bei mjengo wake ambao alikua anaujenga maeneo ya kimara, Dar es salaam kwa Shilingi Million 35.

shishis

“Eneo lile halikuwa nzuri ndiyo maana nimeuza nyumba lilikuwa bondeni hasa wakati wa mvua palikuwa panajaa maji sana,nimepata sehemu nyingine,’’  Shilole aliiambia Clouds Fm.

Shilole ameuza nyumba hiyo kwa shilingi milioni 35 na kwa sasa ameanza kujenga nyumba nyingine maeneo ya Majohe.

Source: CloudsFm

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s