Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi mwaka 2015 ya Jarida la ‘New Africa Magazine’

Muimbaji wa ‘Nana’ Nassib Abdul Juma au Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi Africa mwaka 2015 ‘100 Most Influential Africans in 2015′ ya Jarida la New Africans.

Orodha hiyo ambayo huwa inatoka kila mwaka, huwa inaangalia watu waliofanya vitu vikubwa zaidi (Game changers) kwenye maeneo nane tofauti ikiwemo, Siasa , Ofisi za umaa , Sanaa na Utamaduni , Civil society , Teknolojia , vyombo vya habari  na Michezo.

Nigeria na Afrika kusini ndio nchi zilizotawala orodha hiyo, Nigeria imeingiza watu 20 na Afrika kusini watu 16.

Embedded image permalink

Kuhusiana na Diamond, Jrida hilo limeandika

“Winner of the 2015 MTV Africa Music Award for Best Live Act, as well as Best African Live Act at the 2015 European Music Awards (EMAs), Diamond Platnumz is undoubtedly on of the continent’s biggest mussicians having made a tremendoud impact on the industry both local and global with hits such as ‘Number one’ which featured the talented Nigerian Davido and garnered him a huge following on social media this Tanzanian artist’s influence is most palpable amoungst the African youth and through the conversations they about him online. Tanzania did not just gain a new President in 2015 but ana international superstar making his country proud as well”

Watu wengine waliongia kwenye orodha hiyo ni pamoja na  Muhammadu Buhari raisi wa Nigeria, Yemi Alade, Lupita nyongo, Trevor Noah, Akon, Aliko dangote, Thabo Mbeki, Aubemayeng na wengine.

Chanzo: teamtz

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s