Yamoto Band wamshirikisha Yemi Alade kwenye wimbo wao mpya

Kundi la wasanii kutoka mkubwa na wanawe, Yamoto Band limeweka wazi baadhi ya collabo za kimataifa walizofanya, na moja wapo ni collabo na Msanii wa Nigeria, Yemi Alade.

“Kwa mara ya kwanza tulituma wimbo wetu kwa msanii wa Nigeria Yemi Alade tumeshafanya kila kitu kilichobaki kusubiri yeye aweke vocal zake katika wimbo baada ya hapo wimbo utakuwa tayari kwa hiyo mashabiki wa Yamoto Band wakae tayari kwa muziki mzuri” Wameiambia Milardayo.com

Katika hatua nyingine, Wamesema kundi la wanamuziki wa Nigeria ‘Brackets’ limewashirikisha kwenye wimbo wao.

Source: MillardAyo

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s