Ronaldo,Messi na Neymar wachuana Ballon

Majina ya nyota watatu watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka dunia yametajwa.

Watakaowania tuzo hiyo ni Cristiano Ronaldo wa timu ya taifa ya ureno na klabu ya soka ya Real Madrid. Lionel Messi wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya soka ya barcelona.

Nyota wa tatu anayewania tuzo hii ni Mbrazil Neymar da Silva Santos Júnior, anayeingia katika kinyang’anyiro hicho kwa mara ya kwanza.

Wanaochuana kuwania tuzo ya Mchezaji bora wa kike ni kiungo wa timu ya taifa ya Marekani Carli Lloyd, Aya Miyama wa Japani, pamoja na Celia Sasic wa Ujerumani.

Wanaowania tuzo ya kocha bora kwa wanaume ni Luis Enrique García , anayeifundisha timu ya barcelona Pep Guardiola sala anayefundisha Bayern Munich , na Jorge Sampaoli anayeifundisha timu ya taifa ya Chile.

Wanaowania tuzo ya kocha bora kwa wanawake ni Jill Ellis anayekinoa kikosi cha marekani, Mark Sampson ambae ni kocha wa timu Uingereza , na Norio Sasaki anayekinoa kikosi cha Japan.

Tuzo ya Puskas inawaniwa na Alessandro Florenzi wa timu ya taifa ya Itali na klabu ya As Roma , Wendell Lira Mbrazil anayekipiga katika timu ya Vila Nova , pia nyoata wa Barcelona Lionel Messi

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s