Darke na Rihanna ndio waliosikilizwa zaida kwenye mtandao wa Spotify 2015.

Rnb staa Rihanna ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii waliosikilizwa zaidi mwaka huu kupitia mtandao wa Spotify.

rihanna

Spotify imetoa orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi mwaka huu nchini Marekani na namba moja imechukuliwa na  rapa Drake ambaye nyombo zake lizwa mara bilioni 1.8 na watu milioni 46.

1] Drake
2]The Weeknd
3]Kanye West

Album iliyosikilizwa zaidi mwaka huu ni ya kundi la The Weeknd ‘Beauty Behind the Madness’ ikifuatiwa na ya Drake ‘If Youre Reading This Its Too Late’.

Rihanna ametajwa kuwa msanii wa kike aliyesikilizwa zaidi Marekani mwaka huu,Rihanna kazikilizwa mara bilion Moja na wasikilizaji milioni 57.

Kwa dunia nzima aliyesikilizwa zaidi kwa wanawake ni

1] Nicki Minaj
2] Beyonce
3] Rihanna.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s