Kylie Jenner azindua Lip kit zake, zaisha ndani ya sekunde 30

Unajua huwa inakuaje ukiwa mmoja wa wanafamilia wa The Kardashians.

Kylie Jenner - BellaNaija - November 2015005

Mdogo wa Kim Kardashian, Kylie Jener amezindua Lip kit zake ambazo zilikuwa zinauzwa dolla 29 ambayo ni sawa na 62,000 za Kitanzania, Lip kit hizo ambazo zilikuwa zinauzwa kupitia website  ya  LipKitbyKylie.com  ziliisha ndani sekunde 30 baada ya kuzinduliwa na website ikacrash.

Kylie Jenner - BellaNaija - November 2015001

Hata baada ya kuisha kwa bidhaa hizo mashabiki wa mrembo huyo wameendelea kulalamika kutaka kujua jinsi ya kuzipata.

Kylie aliahidi kuzindua Lipkit hizo miaka miwili iliyopita.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s