Robert Lewandowski aingia kwenye kitabu cha Guinness World Record baada ya kufunga magoli 5 kwenye mechi na Wolfsburg

Nyota wa Bayern Munich, Robert Lewandowski ameingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness World baada ya kufunga magoli 5 ndani ya dakika tisa akitokea sub kwenye mechi na Wolfsburg.

2EEE15A400000578-0-image-a-18_1448900510949

 

Lewandowski amekabidhiwa vyeti vinne na Guinness World Record, ikiwemo magoli matatu ya haraka zaidi (quickest hat-trick), four-goal na five-goal haul, na kufunga magoli mengi kutokea  substitute,yote kwenye ligi ya Bundesliga.

Robert Lewandowski anamagoli 26 kati ya mechi 25 alizocheza msimu huu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s