unda Man awafunda wajawazito

Nyota wa muziki Tunda Man, ameamua kuelimisha kundi la mama wajawazito kupitia sanaa yake ambapo mafundisho hayo yatakuwa ndani ya rekodi yake mpya ya ‘Mama Kija’ ambayo itatoka rasmi leo.

Nyota wa muziki Tunda Man

Tunda Man ameeleza kuwa, kuna mambo mengi ambayo wajawazito wanapitia na kuyafanya ama kwa kufahamu au kutokufahamu, elimu ambayo itakuwa ndani ya rekodi hiyo ambayo amechukua muda wa kutosha kuitayarisha.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s