Kendrick Lamar anamaringo?

Blogs za udaku nchini Marekani zimeanza kumponda Kendrick Lamar kwa kusema kuwa umaarufu unampa kichwa na maringo.

Wale-001

Taarifa hizi zimesamba hivi karibuni baada ya rapa Wale kuweka wazi kuwa jamaa hapokei simu zake toka mwaka jana alivyotajwa kuwania tuzo za Grammy.

Wale ambaye kwa sasa analalamika album yake ya The Album About Nothing  kukosa nafasi kwenye tuzo za mwaka huu za Grammy alimjibu shabiki aliyeuliza kuhusu yeye na Kendrick kufanya ziara ya show pamoja.

Wale aliandika “ain’t answered that phone since the last nomination. I get the Demi lavato [sic] treatment from him now. It’s hard out here.

Kendrick Lamar anawania tuzo 11 kwenye tuzo za grammy mwaka huu.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s