Koffi Olomide asema anatamani kufanya Collabo na Diamond Platnumz

Msanii mongwe wa nyimbo za dance kutoka Congo, Koffi Olomide ameonesha nia ya kufanya collabo na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz.

koffi

Koffi Olomide ambaye ametua Tanzania jana ameiambia AyoTv kuwa angependa kufanya collabo na Diamond, akijibu swali alipoulizwa kama anampango wowote wa kufanya collabo na Diamond, Alisema

“Yes, i hope, i wish”

Koffi Olomide atafanya show usiku wa leo [December 8] Escape one kwenye tamasha la ‘Mkesha wa uhuru’

Source: AyoTv

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s