Omarion katoa ya moyo kuhusu Post To be kutokuwepo katika tuzo za Grammy 2015.

Rnb super staa Omarion ametoa malalamiko yake juu ya tuzo za Grammy mwaka huu kutoweka wimbo wake wa Post To Be kwenye vipengele vya kuwania tuzo hizo.

http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2015/12/omarion.jpg

Wimbo huu ambao kwa sasa unastatus ya Platnum baada ya kufikisha kopi milioni moja hauko kwenye kipengele chochote cha Grammy.

Wimbo wa Omarion “Post To Be” Ft Chris Brown na Jhene Aiko ni platnumz na video yake imetazamwa mara milioni 300 kwenye mtandao wa YouTube.

Omarion anasema hii sio mara ya kwanza kufanyiwa hivi kwenye tuzo hizi, bado wanamchukulia kama msanii mdogo, atatumia kitendo hichi kama changamoto ya kufanya vizuri zaidi.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s