Faiza: kivazi cha mwaka huu kitawapa presha

MREMBO Faiza Ally, ambaye amejizolea umaarufu baada ya kutinga ukumbini akiwa amevaa ‘Pampers’ siku ya kuzaliwa kwake,amefunguka kuwa kivazi kingine akachokivaa Desemba 19, Fukwe za Coco Aqua kitawapa presha watu wengi kutokana na kuwa gumzo zaidi.

Faiza Ally

Akizungumza na kona ya Bongo Movies, Faiza ambaye ni mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini,Joseph Mbilinyi alisema kuwa siku hiyo pia itakuwa siku yake ya kuzaliwa hivyo kivazi atakachokivaa hakijawahi kuvaliwa nchini.

“Pampers iliwashangaza watu lakini kwa kweli kivazi nitakachotinga safari hii hakijawahi kuvaliwa ulimwenguni kabisa.

Nitakuwa nikisherehekea siku yangu ya kuzaliwa na kutakuwa na kiingilio, fedha itakayopatikana nitawasaidia watoto yatima,” alisema Faiza.

Chanzo: GPL

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s