Harmonise ajibu mashambulizi ya Rose

Nyota wa muziki Harmonise, leo hii amezungumza kwa kirefu kufafanua tuhuma za kutoa kauli tata inayoashiria kuwepo uhusiano kati yake na mwigizaji Rose Ndauka ambayo imepelekea kuvurugika kwa maelewano kati yao na kushambuliana kwa njia ya mtandao.

Nyota wa muziki nchini Harmonise

Baada ya shutuma kutoka kwa Rose kuwa Harmonise alitoa kauli tata inayoashiria kuwa wanatoka kimapenzi, akikana kutokuwa na ukaribu na staa huyo, akimshutumu pia kujitafutia umaarufu kupitia jina lake.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s